Reader Settings

Hamza mara baada ya kuona wanajeshi hao walikuwa ni wa kutii maagizo bila ya kuuliza sababu alitoa ishara ya kutofanya chochote.

“Haina haja ya kushambulia ,hawa wanajeshi hawana kosa zaidi ya kufuata maagizo ya wakuu wao , ngoja nimpigie Himidu simu”Aliongea Hamza.

Ukweli ni kwamba Hamza angemaliza swala hilo tokea mwanzo kama angeongea na Himidu na hata kesi za Anna na wenzake zingeweza kumalizwa kimya …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next