MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA TATU
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Sekunde chache ambazo niliendelea kumkumbatia Miryam zilihisika kuwa kama saa zima kabisa, yaani thamani yake ikionekana kuwa kubwa, ndipo nikamshika nyweleni na kuanza kuzilazalaza taratibu. Aliendelea kunilalia hivyo hivyo kama hataki nimwachie kabisa, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments