Reader Settings

Mara baada ya kuondoka kwa Rehema, Fionna alijikuta akiuvaa ujasiri na kisha kumuuliza Jemadari.

“Babu, kwanini umemruhusu Herman kwenda kulipiza kisasi kwa Hamza? Si wote ni wajukuu zako?”

Jemadari aliishia kumwangalia Fionna na tabasamu ambalo halikuwa tabasamu.

“Nini! Unaogopa mume wako kupatwa na tatizo?”

“Ah…!” Fionna aliishia kuhisi aibu, huku akijiambia tangu lini Hamza akawa mume wake?

“Hapana, nauliza kwa sababu unao uwezo wa kuwapatanisha. …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next