Sally alijikuta akisimama, huku macho yake yakijawa na mshangao na kukosa utulivu.
“Oh, maskini mtoto wangu,” aliongea Lovran huku akimsogelea Sally na kuongea kwa hali ya maumivu.
“Nimekufanya kuteseka sana. Kwa hadhi uliyo nayo, hustahili kabisa kuumizwa na hii sisimizi,” aliongea akimwangalia Herman kama sisimizi.
“Wewe ni…?” Sally aliuliza.
“Kwanini unauliza? Hauna hisia za muunganiko baina ya damu zetu, minyororo ya nafsi…” Wakati akiendelea kuongea, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments