Ilikuwa ngumu kufikiria, ndege kubwa namna hiyo ilionekana kugonga kizuizi hewani, ikiwa katika mwendo wa spidi kubwa. Mtu aliyemgonga alikuwa ni huyo mtu chuma.
Jitu hilo kubwa kama askari wa kale lilikuwa limesimama imara pasipo kuyumba wala kuonyesha hali ya kupata majeraha.
Ilikuwa ni kama ndege hiyo kubwa kwake ilikuwa tu kama ndege ya kuchezea, kwani haikumuumiza hata kidogo.
Hata hivyo, Victoria alikuwa katika hali …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments