Reader Settings

Halmashauri ya Giza -Strigoi.

Ndani ya meli mazingira yalikuwa ni yenye kupendeza mno kwa uwepo wa mapambo mengi ya kifahari, huku vito vingi vikiwa ni mkusanyiko wa mabaki mbalimbali ya kale ambayo yailikuwa na thamani kubwa.ikiwemo aina mbalimbali ya ngozi za wanyama adimu.

Muda huo ambao Hamza aliingia aliweza kumuona msichana mdogo kibonge ambae alikuwa akicheza na taji la rangi ya dhababn lililopendezeshwa na madini …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next