MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA NNE
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Asubuhi ilipofika, niliamka huku bado Miryam akiwa mikononi mwangu, tukilala kwa kugandana kama wapenzi walioshibana haswa. Mwanamke wangu bado alipiga usingizi wa nguvu, na kwa kufurahia mwonekano wake wa amani akiwa amelala nikabaki …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments