Siku iliofuata Hamza alienda kazini na wakati akiwa ndani ya ofisi yake Anna alieambatana na Mima , Yonesi pamoja na wenzake wote waliingia katika ofisi yake.
“Hamza asante sana , tumesikia ulivyoyatibua kuhusiana na swala letu”Aliongea Anna na ilionekana kila mmoja alikuwa ameguswa na kile Hamza alichofanya.
“Sisi wote ni wafanyakazi wa kampuni moja , hivyo lazima nifanye kile ambacho nimewaahidi .hakuna haja ya kuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments