Reader Settings

The ancient tomb(Kaburi la kale).

Watu wale mara baada ya kuambiwa wamshambulie Hamza na Yonesi , haraka sana walitoa visu vyao na kushika mkononi wakiwa tayari kwa mashambulizi.

Wa kwanza mara baada ya kusogea, Hamza alipiga hatua mbele na kisha kwa ustadi wa hali ya juu alishika mkono wake uliokuwa umeshikilia kisu na kuupindisha na kumfanya yule mtu kujichinja mwenyewe shingoni baada ya …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next