Reader Settings

Hisia ambazo alizipata alijua ni kwanini watu wengi walikuwa wanapenda kuchunguza mabaki ya kale.

Mbele ya macho yake kulianza giza zito mno lakini mra baada ya hewa kuingia ghafla tu taa moja moja kwa mtindo wa kufurahisha macho ziliwaka.

Mwonekano wake ulibadilika kutoka kuwa wa matarajio na kuwa wa kuchanganyikiwa na taratibu alianza kushangaa.

Halikuwa kaburi bali ni kama chumba kikubwa sana chini ya ardhi …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next