Reader Settings

Kama mbwai na iwe mbwai fuwele sitoi

Yule mtu katika vazi la suti ya chuma alimwangalia Hamza kwa dakika kadhaa huku akionekana kama mtu ambae alikuwa akimtathimini na kisha akatoa kicheko hafifu kana kwamba alikuwa akimdharau.

“Mtu uliefanikisha kubadilisha mfumo wote wa ulimwengu wa giza kwa mikono yako , ukayageuza mawimbi na kushinda vita takatifu, mfalme unaeabudiwa mpaka na viumbe wa nje ya sayari , …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next