Reader Settings

Hamza alijua ilikuwa ngumu sana kuwazuia wataalamu kama hao, ambao uzoefu wao wa mapigano ni wa kimilenia. Mara baada ya kufikiria kwa muda, alijikuta aking’ata meno yake kwa nguvu na kupanga kuipa changamoto zaidi mbinu ya silaha ya hiari ili kuona kama anaweza kuitumia kwa zaidi ya uwezo wake.

“Maporomoko ya mbingu! Mvua ya silaha!”

Hamza aliamrisha silaha zake zilizokuwa zimezagaa angani na kuzishusha kama …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next