Lugha ya malaika na Karama ya uzao wa damu.
(Enochian language)
Yonesi pia aliweza kuhisi jambo lile , isitoshe wenzake wote walikuwa wamekwisha kuondoka , kama mkuu wa kitengo cha ulinzi alipaswa kuangalia usalama wa wafanyakazi na sio kukaa katika wodi ya Hamza.
Sasa kitendo cha kumuona Regina akiwa ameingia hapo alijikuta akishangaa huku akikosa utulivu kwa wakati mmoja .
“Mkurugenzi.. kwasababu umefika nitawaacha sasa”Aliongea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments