Unachopaswa kuelewa ni kwamba mbinu ya mgawanyiko ni mbinu ambayo Hamza aliipata ikiwa katika hali ya kutokukamilika, kupitia andiko ambalo alilipata kwa Yonesi. Hamza hakuwa hata na uhakika kama ndani ya ulimwengu kuna mtu aliyekuwa akijifunza mbinu hiyo, lakini muda huo sehemu kubwa ya mbinu hiyo alijifundisha mwenyewe.
Tangu mwanzo, Hamza alielewa wazi kwamba vigezo vya mbinu ya mgawanyiko ni kuwa na umiliki wa kiasi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments