Reader Settings

Hata kwa Lovran na Nicholas, ambao walikuwa na nguvu za juu, kama tu wangesogelea na kugusana na kivuli cha mwili wa silaha wa Hamza, wangeumia pakubwa. Lakini kwa Sally, ambaye alikuwa chotara wa kiumbe Strigoi na vilevile kuwa na mwili wa jini, nguvu zake zilikuwa kubwa mno.

Sasa muda huo, na kuchochewa kwake na kunywa damu za watu, utimamu wake wa mwili ulikuwa mkubwa kuliko …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next