Reader Settings

Mara baada ya kuona Hamza alikuwa akimshambulia, nguvu ya jini ilichukua nafasi na kumtawala zaidi Sally. Akiwa katika uso wa ukali, palepale aliyainua makucha yake na kuyafanyia mkandamizio kwa nguvu za kijini, kisha akaruka juu kukwepa shambulizi la Hamza, lakini wakati huo huo akirudisha pia.

Hamza, kwa wepesi, alipiga sarakasi ya beki akiwa hewani, huku wakati mmoja akiendelea kurusha pigo lingine kulenga shingo ya Sally.

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next