Aliyekuwa mbele yao, alikuwa baba yao, Mzee Kombo. Mara baada ya kusikia maongezi yao, aliishia kugeuka na kisha kuuliza akiwa amekunja sura:
“Inamaanisha Shaibu hajaja mpaka sasa! Anafanya nini huko mafichoni huyu mshenzi, au amekuwa kichaa? Kwanini hana dabu?”
“Baba, nitatuma mtu kwenda kumuita. Usikasirike,” aliongea Mjema kwa kujitetemeka.
Hata hivyo, mzee huyo alikuwa na hasira na mara moja alifoka:
“Kwanini hicho kishenzi mpaka kilazimishwe …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments