Reader Settings

Ni ndani ya makazi ya Jemadari, upepo ulikuwa ukivuma kwa namna ya kufanya eneo hilo kutawaliwa na amani kubwa.

Upande wa bustani siku hiyo, sehemu ambayo ungekaa na kikombe cha chai na kupata burudiko la harufu safi ya mimea.

Lakini siku hiyo haikuwa sehemu ya kupumzikia kabisa. Badala yake, eneo hilo lilikuwa limetawaliwa na harufu nzito, iliyowafanya watu wengi kukaa mbali.

Fionna, aliyekuwa amevalia mavazi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next