MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA SABA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Niliposhusha simu baada ya kuzungumza na Festo, nikatambua kwamba daktari Anissa alirejea hapo tulipokuwa tumesimama, nasi sote tukamtazama.
"Hey, mmebaki nyuma why?" akauliza hivyo.
Bhavin akasema, "Aa, twaja. Tulikuwa behind."
"Too far behind, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments