Ilibidi wasitishe maongezi yao kwanza na kuingia ndani ya mgahawa na kwenda kukaa.
Hamza alikuwa mzoefu ndani ya hilo eneo na alichagua siti ileile ambayo alikaa na baba yake Prisila wiki kadhaa zilizopita.
Baada ya kuketi waliletewa menu na kila mmoja aliagiza chakula alichopenda na kuandaliwa.
“Kitendo cha Wanyika kuweza kuingiza mtu wanaemtaka ikulu imemuathiri sana Mgweno katika harakati za kuitawala Tanzania nje ya ikulu, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments