Reader Settings

Ajenda moja

Selina alijikuta akishikwa na huzuni kiasi cha machozi kuanza kumtoka na Hamza aliishia tu kuchukua tissue na kumpatia huku akimfariji.

“Dokta hajawahi kukulaumu hata kidogo , tokea mwanzo alijua njia alioichagua ni ngumu na ya hatari, hivyo ilikuwa sawa kwako kumpinga”

“Hapana nilipaswa kuwa nae bega kwa bega angalau asingekuwa mpweke mpaka nyakati zake za mwisho ..”Aliongea na kisha palepale alilazimisha tabasamu na …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next