Reader Settings

Upande wa ngambo ya mto huo, kulikuwa na mahema kibao yaliyokuwa yamepangiliwa kwa ustadi wa hali ya juu, huku kukiwa na bendera kadhaa za taasisi kubwa za kimataifa, ikiwemo WHO. Vilevile palikuwako bendera ya Tanzania ikiwakilisha wanajeshi wa Tanzania.

“Kapteni Yonesi! Mmerudi?”

Wanajeshi wawili waliokuwa wamejazia miili walikimbia kusogelea upande wa pembezoni mwa mto wakisaidia haraka kufunga boti ile.

Yonesi muda huo alisaidia baadhi ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next