SEHEMU YA 180.
Princess Airami Ingrid.
Hamza alikuwa amejichokea. Alikuwa amebembeleza watu wengi, lakini kwa Regina, ambaye ni mwepesi kukasirika, alishindwa kabisa kujua cha kufanya. Muda ambao aligeuka akitaka kuingia ndani kwa ajili ya kupumzika, palepale alisikia mlipuko mkubwa wa bomu na kumfanya ageuke haraka.
Mara baada ya kuangalia upande wa mbali kutoka hoteli hiyo, aliweza kuona moto ukiruka juu pamoja na moshi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments