Alikuwa ni mhudumu wa hoteli hio alievalia sare , ambae kazi yake ni kusafisha chumba hicho na mara baada ya kumuona Hamza mbele yake aliuliza kwa hali ya upole kabisa.
“Kaka naweza kusaidia shida yako”Aliongea
“Hiki si ndio chumba cha Mkurugenzi Regina alichochukua si ndio?”
“Oh , Mkurugenzi kaenda kwenye kikao lisaa limoja lililopita ndio maana nimekuja kufanya usafi”Aliongea yule mhudumu wa kike na kumfanya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments