Joto la Moyo
Inawezakawa Regina hajaanza kumpenda Hamza kwa kiasi kikubwa,lakini siku zote kwa mwanamke anapenda kuungwa mkono na mwanaume ambae anamvutia , hivyo ilikuwa sawa tu kwa Regina kukasirika kwa kitendo cha kuanza kumsifia Yulia mbele yake ilihali ndio aliemuweka katika hali hio, Regina alikuwa akimchukulia Yulia kama mshindani wake namba moja ndio maana kitendo cha kushindwa katika dili ilimpa mawazo sana mpaka kuanza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments