Upande mwingine asubuhi hio alionekana Kanali Dastani akiingia ndani ya ofisi yake kama kawaida na kitendo cha kuvua koti lake na kulining’iniza , mlango wa ofisi yake ulifunguliwa na akaingia Amosi.
“Ulikuwa hapa kitengoni?”Aliuliza Kanali kwa namna ya kushangaa kidogo.
“Ndio , Mkurugenzi alinniita kwa ajili ya maswala ya kazi”
“Kazi gani?”Aliuliza.
“Kuna kazi gani tena , aliniulizia maendeleo ya uchunguzi yanavyoenda”Aliongea na kumfanya Kanali …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments