Reader Settings

Kaka Fabiani(Mkaka).

Kwa hali ilivyokuwa, ilionyesha dhahiri kabisa wahusika walikuwa wamejitega juu ya mlima na mara baada ya zoezi lao la kwanza kumalizika, walianza kushuka na magari yao.

"Wife, jifiche kwenye hili jiwe, usije ukatoka. Ngoja mimi nikaangalie kinachoendelea," aliongea Hamza.

"Usikurupuke, pengine kuna mabomu mengi zaidi," aliongea Regina kwa kuonya.

"Usiwe na wasiwasi, ukipatwa na tatizo piga kelele mara moja, ila usikimbie," …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next