Kisasi chetu kimeanza rasmi
Hamza hakuchukulia eneo hilo kama chumba cha upasuaji wala hospitalini, ila kwake ilikuwa ni kama uwanja wa vita, na alijiambia kama anataka kufanikisha upasuaji huo, asiruhusu mazingira kumwathiri.
“Mgonjwa ana uvimbe upande wa kushoto kwenye mapafu yake, kwenye lower lobe ulioshuka mpaka kwenye ateri kubwa. Nitafanya upasuaji wa kuondoa kipande chenye uvimbe na kuunganisha na arteri,” aliongea Hamza.
Mara …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments