Mtaalamu
‘Neema ya tone la maji hulipwa kwa chemchem.’
Staili ya uvaaji wa Yulia ilimpagawisha mno Hamza na kumfanya amkodolee macho kwa sekunde kadhaa.
"Mbona unanikodolea macho? Ijapokuwa mimi ni mrembo, hapaswi kunitamani," aliongea Yulia kimapozi huku akisimama kutoka alipokuwa amekaa na kumsogelea Hamza.
Pua zao zilikuwa zimeachana kwa sentimita chache sana, na Hamza alitumia muda huo kuangalia uso mlaini wa mrembo huyo. …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments