Reader Settings

Hamza, mara baada ya kushambuliwa vile, haraka sana alirudi nyuma na hata kiti alichokuwa amekalia kilipinduka. Mara baada ya kufanikiwa kumkwepa, alirusha mkono na kupangua shambulizi la Pima.

Pima, mara baada ya kuona shambulizi lake la kwanza limefeli, hakupoa. Palepale alifyatuka na sarakasi mtelezo na kufyatua kiti kwa ustadi wa hali ya juu kama mpira, kisha alikisukumiza kwa nguvu kumlenga Hamza kichwani. Hamza aliishia kukwepa …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next