Hamza alijua fika kwamba alikuwa amejiingiza kwenye matatizo makubwa yaliyosababishwa na Yulia. Kitendo cha Hebert kumtegea bomu kilimfanya kuwa na wasiwasi zaidi kuhusu usalama wa watu wake wa karibu. Ili kuhakikisha watu wake wanakuwa salama, aliona njia pekee ilikuwa kuigeuza familia ya Wanyika kuwa washirika wake, na njia rahisi ya kufanikisha hilo ilikuwa kupitia Yulia.
Ingawa familia ya Mzee Kijazi haikuwa na nguvu kubwa nchini, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments