Palepale wanaume waliojazia miili ambao pia walikuwa ni wafuasi wa sinagogu walitokeza mbele , wakiwa na visu mikononi mwao na haraka sana walianza kumshambulia Hamza..
Hamza aliishia kushika vile visu upande unaokata na kuvuta kwa nguvu lakini hakuonekana kuumia kabisa.
Kwa wakati mmoja alimpiga teke mwanaume yule na kisha alitumia kisu kile na kumkata mwingine shingo.
Ijapokuwa mbinu za mapigano za wafuasi hao zilikuwa sio …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments