“Nilikuchukulia poa sana, ila sidhani hata kama wewe ni binadamu,” aliongea.
“Hebu acha porojo na kaa chini tule samaki bwana, unaonekana kuna mambo mengi kuhusu dunia huyajui kama na hili linakushangaza,” aliongea.
Pima alijikuta akinywea, hata ile hali ya kujiamini mbele ya Hamza ilimpotea na aliishia kukaa huku akiwa na haya usoni.
Baada ya kuanza kula, stori nazo zilichukua nafasi yake, walianza kuongea vitu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments