Reader Settings

EARTH AXIS.

“Moja ya kosa kubwa binadamu alilofanya tokea kuwa na upeo mkubwa wa akili ni kuudharau mwili

wa kibinadamu na kuona kwamba kuuchakachua ndiyo kuongezea nguvu. Siri za uwezo wa

binadamu zilizofichwa katika miili ya kibinadamu ni kitu ambacho huwezi kufikiria kabisa.”

*****

Haikuwa mshangao wa kuokolewa tu, lakini vilevile alishangaa jinsi Hamza aliwezaje kufika hapo ndani ya muda mfupi, wakati wanajeshi ambao walikuwa …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next