Reader Settings

Hata kama ni mimi, ningefanyaje? Kiufupi, Hebert hakuwa na namna na aliishia kuinua kile kiboksi kumsogelezea Cleig huku akitanguliza maneno ya ushawishi kuachwa hai.

“Mimi ni mtoto wa kwanza na mkubwa katika familia ya Mzee Kijazi, kati ya familia kubwa hapa nchini. Nikifanikiwa kuwa kiongozi wa familia baada ya babu yangu, nitakuwa kati ya watu wenye nguvu kubwa ndani ya Tanzania na Afrika Mashariki kwa …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next