Reader Settings

Wanajeshi hao walijikuta wakishangaa kwa kuona kitu ambacho hakiwezekani kabisa kutokana na teknolojia ya manowari yao.
“Imewezekanaje mpaka tukashambuliwa? Ina maana rada imeshindwa kufanya kazi yake?” waliuliza, maana kutokana na mfumo wao wa rada, kama adui angekuwa anaisogelea manowari yao, wangeweza kumuona akiwa umbali wa maili hata tano.
“Hapana, sio shambulizi, kuna mtu amevamia manowari yetu,” aliongea mwanajeshi mwingine aliyekuwa akiongoza mtambo huku akiangalia skrini iliyokuwa ikionyesha …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next