siku tatu baada ya mapambano na sherehe kuisha, Hamza kwa mara nyingine aliweza kurudi mjini akiwa na amani kabisa, baada ya kupokea habari kutoka kwa kijana wake, Afande Himidu, kwamba familia ya Kijazi wamesitisha kisasi chao kwa muda. Hii ilimpa utulivu wa akili Hamza.

Kubwa zaidi, Himidu pia aliwasilisha pendekezo la Hamza la kuweza kushughulishwa katika masuala ya sayansi ya tiba na bailojia kupitia Earth …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next