Reader Settings

Mtumishi Madonna

“Mwanaume ana sura mbili , sura ya kabla na baada ya ndoa” By Regina

Hamza yeye kama yeye hakuwa na wasiwasi na sumu hio, kutokana na mafunzo yake ya kuimarisha mwili ni ngumu sana kuathirika , hivyo wasiwasi wake ulikuwa kwa Airami.

“Princess , usivute hewa!”Aliongea Hamza kwa nguvu , ingawa alimwambia asivute hewa lakini shambulizi hilo lilikuwa la haraka mno hivyo ilikuwa …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next