Hamza alishindwa kujizuia na kuvuta pumzi nyingi sana huku akimwangalia mwanamke huyo kwa hisia kali. Ghafla tu palepale aliamka alipokuwa amekaa na kwenda kumkumbatia Eliza kwa nyuma na kuinamisha kichwa chake na kumkisi kwenye lipsi. Tukio lile sio tu kwamba lilimuogopesha Eliza, lakini pia liliogopesha wateja wengine na wahudumu ndani ya mgahawa huo.
“Unafanya nini, kuna watu wengi hapa,” aliongea Eliza huku akiwa ameiva na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments