Mkuu wa Majeshi
Hamza mara baada ya kuinama na kumchunguza mgonjwa hali yake , palepale aligeuka na kumwangalia baba yake Yonesi.
“Alikuwa akisumbuliwa na nini?”
“Hebu pisha njia, halikuhusu hili swala”Aliongea Afande Daudi kwa hasira.
“Sitafuti ugomvi hapa , nakuuliza kwasababu mimi ni daktari , niambie kama anashida ya mzunguko wa damu kati ya moyo na mapafu?”
Mara baada ya kusikia hivyo mzee huyo alijikuta …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments