Reader Settings

Ivani alishangazwa na sura za ndugu hao na alimgeukia Yonesi na kumuuliza kinachoendelea.

Katika familia hio ya Mzee Mazengo , mtu pekee ambae Ivani alikuwa na ukaribu nae ni Yonesi na hata wakati Yonesi anatoroka kutoka kwao kwenda Dar es Salaam ni Ivan aliempa msaada wa kifedha baada ya kuwasiliana kwa siri na dada yake.

Yonesi pia hakumficha ‘Mzungu huyo wa mchongo’ , alimwelezea kila …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next