Simba wa nyika.
“……sifa zangu ni matokeo ya kuutafuta uhuru na kuendelea kuishi kwa kushinda vikwazo”
v
Mara baada ya mkurugenzi wa kitengo cha TIMISA kunona sehemu alioweka kidole mkuu wa majeshi. palepale alijua alikuwa akilenga nini .
“Afande unamaanisha kilichotokea Kilwa baada ya Wabrazili kufungua kanisa lao ndani ya hili eneo?”Aliuliza kwa kutokuwa na uhakika na mkuu wa Majeshi alitingisha kichwa kukubaliana nae.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments