Reader Settings

Mkuu wa majeshi mara baada ya kusikia kauli ile ya Hamza alijikuta akiaungua kicheko.

“Leo tutapotezea kuhusu fadhila ndongo niliokufanyia , isitoshe wewe ndio uliehusika kuzamisha manowari ya kijeshi ya America , jambo ambalo nasikia limeshusha morarali sana kwa wanajeshi wa kitengo cha Delta Zero kufeli kwao, kufanikiwa kwa majaribio kisiwani Chole na wafanyakazi kurudi salama salimini ni swala la kukushukuru kitaifa. Tupo tayari …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next