Haikuwa mara ya kwanza kwa Hamza kukutana na janga kama hilo, hivyo alijifanyisha kutokumsikia na kuingia ndani kabisa.
Hamza aliweka vile alivyokuwa ameshikilia mkononi juu ya meza huku akiwa na tabasamu la kizembe.
“Wife nimekuletea vitu unavyopenda”Aliongea na kumfanya Regina kuangalia.
“Njitaongezeka uzito nikila vitu vyenye sukari saa hizi”
“Wife kwa ulivyoumbika , hata kama uongezeke uzito utazidi kupendeza, huna haja ya kuwa na waswasi, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments