Tajiri mwenye moyo wa kimasikini.
Irene bado alikuwa hajaiva kwenye udereva , alichokuwa akizingatia ni taa kumuwashia kijani tu na nyekundu na ndio huendesha gari , hivyo hakuweka umakini kuona kama kuna mtu ambae alikuwa akikatiza licha ya taa kuwa kijani.
Haraka sana alisimamisha gari na kushuka akiamini amegonga mtu .
“Babu nini tatizo?’Aliuliza Irene ambae furaha yake ya ushindi imeingia doa na kuwa na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments