Reader Settings

Regina mara baada ya kuona Hamza ameshuka , palepale alipanda na kuwasha gari.

“Huna haja ya kurudi nyumbani , nenda popote unapotaka , sitaki kukuona nyumbani leo”Aliongea Regina.

“Regina nimekosea wapi mpaka umebadilika , hata kama unataka nife ni haki yangu kujua kwanza sababu ya kuniua. Ijapokuwa najua kweli nimekukosea mara nyingi lakini nafanya kila jitihada kukuomba msamaha, natamani kweli kukuona ukiwa na furaha”Aliongea Hamza …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next