Aunt Msamehe Mjomba.
Mara baada ya kulala usiku mzima na mrembo Dina , Hamza aliondoka kijichi akiwa na nguvu na ari mpya kabisa.
Hakwenda kazini pia badala yake alimpigia Prisila simu na kumuuliza kama ana muda waelekee wote Morogoro kutembelea kituo cha kulelea Yatima.
Hamza aliona afanye hivyo maada kesho yake ilikuwa ni sikukuu , hivyo alitaka kwenda kutoa zawadi kwa baadhi ya watoto na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments