Serena, mara baada ya kuulizwa swali lile, alifikiria kidogo na kisha alionekana kuwa na jibu.
“Naamini hii sehemu haikosi vifaa vya kufanyia majaribio, namaanisha vile vya msingi sana, si ndio?”
“Kwa hapa hatuna, lakini kwa bahati nzuri tunapakana na kiwanda cha kemikali. Nadhani watakuwa navyo, ni swala la kuingia kwenye maabara yao na kuomba,” aliongea Thomasi. Palepale, Serena alitoa notebook na kisha alandika vifaa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments