Damu ya Phoenix.
Ni muda wa saa saba za mchana alionekana Prisila ndani ya jengo la shule ya lugha Maarufu kama Mikocheni language Academy.
Moja ya vitu ambavyo Prisila alikuwa akifanya tokea apate likizo ni kujiandiskisha na kituo hicho cha mafunzo ya lugha , huku kwa upande wake akijifunza namna ya kuongea kifaransa.
Sasa saa saba ya mchana ndio muda ambao alikuwa amemaliza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments