Pepo mchafu.
Madona alionekana sasa kuelewa ni kwa namna gani asingeweza kuendelea, na sura yake ilibadilika ghafla, akimwangalia Hamza kwa wasiwasi.
“Wewe ni nani?” aliuliza.
“Nadhani nilishakwambia kuwa mimi ni rafiki yake Princess, lakini wewe ukadhani natokea Umoja wa Sinagogu,” Hamza aliongea huku akionyesha mwonekano wa kejeli.
Madona alikakamaa, na ingawa sura yake iliendelea kubadilika, alijitahidi kujiweka sawa.
“Sijui unachoongea,” aliongea, huku Princess Airami akimwangalia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments